Mwenyezi Mungu ﷻَ
Mtume ﷺ

Risala ya Ar-Rahman

RUQHOYYA:

RUQHOYYA: "ADHABU YA MOLA WANGU INAWAKARIBIA — JITAYARISHENI KUIKABILI!"


7 Agosti 2024

Bismillahirrahmanirrahiim.

Ewe Ruqhoyya!
Waambie Wapinzani-Wangu:
“Adhabu ya Mola wangu inawakaribia. Jitayarisheni kuikabili ghadhabu Yake. Hakika Mola wangu anajua uovu mnaoufanya, na Yeye, Allah wangu, yuko tayari kuwamiminia adhabu kali kwa kuwa mnamuasi na kumpinga.”

Ewe Ruqhoyya! Hakika Nilikuwa Nimewahifadhia wema, lakini wao wamejichagulia maangamizi kwa matendo yao.

Bismillahirrahmanirrahiim.
"Ulaa'ika ‘alaa hudamirrabbihim wa ulaa'ika humul- muflihuun.
Hao ndio walio katika mwongozo kutoka kwa Mola wao, na hao ndio waliofaulu.
Aamiin, Yaa Allah, Yaa Rabb, Yaa Sami, Yaa Baswir. Alhamdulillah.

Maneno muhimu:
# Ruqaya, # Ruqhaya, # Ruqhayya, # Ruqhoyya, # Ruqaya Bint Muhammad, # Ruqhaya Bint Muhammad, # Ruqhayya Bint Muhammad, # Ruqhoyya Bint Muhammad, # Ruqaya Binti Muhammad, # Ruqhaya Binti Muhammad, # Ruqhayya Binti Muhammad, # Ruqhoyya Binti Muhammad, # Ruqaya Binti Muhamad, # Ruqhaya Binti Muhamad